Jamani duniani kuna mambo....Panya anacheza vile unavyotaka umchezeshe,nilichukua takribani dakika 5 kucheza na huyu panya.Bado utalii wa Holland unachangamsha Ubongo wangu.
Yani hapo nilishangaa sana,maana panya Alinishangaza vya kutosha.kweli tembea uone.