Kitendo cha kunywa kilevi na kuendesha chombo cha moto barabarani kila siku kinakatazwa ila watu wabishi na hawataki kuacha,ona dereva huyu mlevi alivyotoa roho za watu na kuwaacha wengine na ulemavu wa kudumu.