Wakinamama wafanyabiashara katika soko la Mwanakwerekwe wakipanga viazi Sokoni hapo fungu moja shillingi 2000/=(Picha na Othman Mapara)

WANANCHI wakipata  mahitaji ya  futari katika soko la Marikiti Darajani ndizi moja ya mkono wa tembo Sokoni hapo inauzwa shillingi 4000/=.