Ili kuiongoza Tanzania unahitaji kuwa MJASIRI,mwenye BUSARA,USTAHILIMIVU WA HALI YA JUU,HEKIMA,UPENDO na UKALI INAPOBIDI.Kila nikikaa chini na kuwafikiria hawa viongozi nabaki kuwaombea dua kwa MUNGU awape maisha marefu na Afya zilizo njema,kazi waliyoifanya sio mchezo..binadamu hakamiliki pamoja na mapungufu waliyonayo,kila mmoja anaweza kuwa nayo,ila kiukweli kuiongoza Tanzania sio mchezo.Hatutamsahau Mwalimu Nyerere kwa yale yote mema aliyoyatenda na tutaendelea kumuenzi siku zote.Ila Al Haj Mwinyi,Mzee Benjamin Mkapa na Muheshimiwa Rais Jakaya Kikwete Mungu awape maisha marefu na Afya njema,sina cha zaidi..mnastahili pongezi kwani kuiongoza Tanzania sio mchezo.
MAGANGA ONE.
NI KAWAIDA YANGU KUMSIFIA MTU AKIWA HAI SISUBIRI MPAKA AFE.
0 Comments