Wapinzani wakubwa wa ligi ya Spain jana wameshindwa kutambiana baada ya kwenda sare ya kufungana kwa magoli 2-2 katika kikombe cha Super Cup.Mech ilikuwa ngumu,nzuri na yakupendeza kwa kila timu.