Baadhi ya majengo jijini Maryland huko USA yameathirika kiasi kikubwa kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea siku chache nyuma hivi karibu.
Kama ujioneavyo pichani kuna miti mingi imeanguka kutokana na tetemeko hilo nchini Marekani.
Barabara kukatika na maeneo kadhaa pia yameathirika kwa kiasi kikubwa sana,Maganga One Blog inachukua fulsa kuwapa pole wale wote walioathirika kwa namna yoyote ile na tetemeko hili la Ardhi,poleni sana ndugu zetu mliopo huko kwani hii ni Mambo ya MUUMBA ARDHI NA MBINGU katika kutuonyesha kuwa hakuna Mfalme zaidi yake.Poleni sana tena sana.