Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maafikiano yaliyotokana na itifaki ya pamoja kwa nchi wanachama wa Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inayohusu udhibiti wa fedha chafu sambamba na katiba ya ushirikiano wa majeshi ya Polisi kwa nchi hizo yaliyofikiwa katika mkutano wa 31 wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC mjini Luanda, Angola. (Picha na Amour Nassor-OMR).
0 Comments