Waaawww....!!!!!! Ni vizuri kwa bara letu la Afrka kufanya vyema katika mashindano haya..first runner-up alikuwa ni Olesia Stefanko kutoka Ukrane,na second runner-up alikuwa Priscila Machado toka Brazil wakati third runner-up alikuwa ni Mfilipino na wa nne alikuwa Miss China.Ukiangalia vizuri hii picha UTAMUONA MTANZANIA KUSHOTO PALE,TUNASHUKURU NASI TUMEFIKIA HATUA NZURI SANA YA KUJULIKANA DUNIANI.