Baada ya show ya Mfalme wa Taarabu nchini Tanzania Mzee Yusuf kwisha nchini Holland,Maganga One Blog ilifanya mazungumzo mafupi na Mzee Yusuf,Kaa kitako kujua nini Mzee Yusuf amezungumzia kuhusu show nzima ya Uholanzi.Nasubiri maoni yenu je nitoe Video au maelezo matupu?
Post a Comment
8
Comments
Anonymous said…
mimi kwa upande wangu ningependa utowe vyote yani maelezo na picha
Anonymous said…
mimi kwa upande wangu ningependa utoe vyote yani maelezo na picha
Anonymous said…
mimi kwa upande wangu ningependa utoe vyote yani maelezo na picha
Anonymous said…
towa video
Anonymous said…
Tafadhali toa hiyo vidio tujionee wenyewe, sasa unaficha nini?
8 Comments