Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkurugenzi wa miradi ya afya wa taasisi ya Miracle Corners, Dk. Marion Bergam na wajumbe wengine wa mkutano wa kwanza wa magonjwa yasiyoambukiza duniani uliofanyika Chuo Kikuu cha New York, Marekani. Mkutano huo ulidhaminiwa na Serikali ya Tanzania. (Picha na Ikulu).
0 Comments