Furaha ya ukweli mpaka meno yote 32 yanaonekana,Leo nimetimiza mwaka 1 namshukuru MUNGU kwa kila jambo.

Weraweraaaaaa jamani nina furaha sana leo kwa kutimiza mwaka mmoja nikiwa na afya.hayo ni maneno ya bidada Roshan Maganga One usiku wa leo.

Roshan akiwa na mama yake mzazi wote wakiwa na nyuso za furaha.

Mama na watoto wake,Sharon na Roshan,wakimsapoti Roshan katika birthday.

Baba piga picha bwanaa ``Roshan alikuwa akilalama...

Hapa tumejumuika pamoja na Roshan katika kumpa sapoti ya siku yake,kiukweli tunamshukuru MUNGU kwa kutukuzia binti yetu na tunamuombea Dua akuwe katika mazingira ya kumcha Mungu.
kushoto Uncle Jimmy ,mama yake Roshan na dada yake kulia ambaye ni Sharon.

Nasimama dede na naanza kupiga mojamoja kama mnavyoniona hapoo...Kwa picha zaidi