WIKI ILIYOPITA TIMU YANGU YA MANCHESTER UNITED ILIPOTEZA MCHEZO KWA MANCHESTER CITY KWA USHINDI AMBAO UMEKUWA GUMZO DUNIA NZIMA.

KESHO TIMU YANGU YA VIJANA WAJANJA WA JANGWANI INAINGIA UWANJANI NA WAUZA MITUMBA WA MTAA WA KONGO..JE KUNA MAONI JUU YA USHINDI WA YANGA? MAANA SIMBA WAMESHAPELEKA MAONI YAO KUHUSU KUOGOPA KWAMBA AKICHEZESHA REFA ALIYECHEZESHA MECHI YAO YA SIKU ZA NYUMA WATAFUNGWA,SISI HATUNA SABABU YOYOTE KWANI TUMEJIANDAA VYEMA.

NAWASUBIRI SIMBA KWA HAMU,MAANA HASIRA ZA MANCHESTER CITY TUTAZIMALIZA KWAO.
                        MAGANGA ONE` YANGA ASILIA.