Kuna shabiki yeyote wa Simba ambaye anaweza kubisha kwamba Yanga ni kiboko ya wauza mitumba wa mtaa wa Kongo?Haya mie sitaandika matokeo mwenye kuwa na ripoti kamili kama mzee wangu Mzee Said Sleyyum wa Ilala Dar  anipe tafadhali.