MY God! Miss Ruvuma ‘hamnazo’ 2005 ambaye alishiriki kinyang’anyiro cha Miss Tanzania mwaka huo na kuangukia pua, Isabella Mpanda ‘Bella’ amefumwa ‘laivu’ akifanya vitendo vya kisagaji na rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Jack, Risasi Mchanganyiko linafunguka.

Bella asiyekuwa na tone la aibu alinaswa na kamera yetu akijihusisha na uchafu huo wa kufedhehesha ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ ilikuwa ikifanya makamuzi. habari zaidi bonyeza link http://www.globalpublishers.info/