Mama wa Mitindo nchini,Asia Idarous akipita jukwaa ni na mmoja wa mamodol wake katika ufunguzi Swahili Fashion Week uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Makumbusho ya taifa jijini Dar.
Mwanamkitindo Kiki's (katikati) akipita jukwaani na mmoja wa mamodol wake katika ufunguzi Swahili Fashion Week uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Makumbusho ya taifa jijini Dar.
Baadhi ya Mamodol waliovalia mavazi mbali toka kwa wabunifu tofauti tofauti wakipita jukwaani kuonyesha mavazi hayo katika ufunguzi Swahili Fashion Week uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Makumbusho ya taifa jijini Dar.
0 Comments