Unapozungumzia suala la Mapenzi au Kupenda lazima uelewe unaizungumzia jamii nzima.Wengi wanashindwa kutofautisha neno mapenzi na wivu,tukifupisha stori neno Mapenzi ni muonyesho wa dhati wa kupenda kwa yule umpendae.Tazama babu na bibi walivyoshibana na kuonyesha kwamba mapenzi yao ndio kwanza full chaji wanakiss na maisha yanakwenda.
Siku za nyuma tulikuwa na kasumba mbaya ya kufikiri kwamba kiss ni kwa wazungu tu na watu wenye mataifa ya rangi kama yangu na yako sio watu wa kupigana makiss,ila hali hiyo imebadilika na kuwa kama picha ya hapo juu,Uongo kweli? kazi kwako.
0 Comments