Inashauriwa na kukatazwa matumizi ya simu unapoendesha chombo cha moto barabarani.Ona pikipiki ilivyojiingiza ndani ya gari na kusababisha mauti ya watu.watu wengi wamekuwa wakidharau na kujiona wajanja wanapowaona traffic barabarani wanaweka simu zao kwenye mapaja na kuendelea kuendesha magari yao,wakishawapita wanausalama wanaendelea na kuzunguza na simu zao..
0 Comments