Bendi kongwe ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki' inatarajiwa kusherehekea miaka 48 ya mapinduzi visiwani Zanzibar.
Msondo imeanza maandalizi ya albamu yao mpya kusherehekea miaka hiyo pamoja na mashabiki wao wa Zanzibar kwenye ukumbi wa Gym Khana, siku ya kilele cha sherehe hizo Januari 12.
0 Comments