Mzungu mmoja alipita na nyani
wake katika duka la muuza
ndizi,
nyani akaiba ndizi moja,
muuza ndizi akakasirika
sana, Mzungu
akamwambia,
unakasirika nini wakati
aliekula ni ndugu yako?

Basi jamaa akanyamaza.
Siku ya pili nyani akaja
peke yake kwenye duka
la ndizi.

Jamaa alipomuona
akampiga mpaka akafa, Mzungu aliporudi
akamkuta nyani wake
amefariki, kwa hasira mzungu alifika kwa muuza genge na kuuliza nani
kamuua nyani wangu?

Jamaa kamjibu:
HAYAKUHUSU HAYA
MASUALA YA KIFAMILIA.


Mzungu akatulia tuliiii.....!!!!!