WOLPER
LULU
Na Shakoor Jongo
Baadhi ya mastaa wa kike Bongo wanatafunwa na skendo ya kukubali kuchezewa makalio na wanaume pale wanapokuwa kwenye zoezi la kuchorwa ‘tatuu’ maeneo ya karibu na sehemu hiyo nyeti.

Utafiti uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, idadi kubwa ya mastaa wana urembo huo sehemu ya juu kidogo ya makalio yao ambapo katika mazingira ya kawaida, anayechora ni lazima ashike sehemu zisizostahili.
Mwandishi wetu aliongea na baadhi ya mastaa wenye tatuu hizo sehemu nyeti na kuhusu hilo la kuchezewa makalio walisema:
LULU: Mi’ nimechorwa na mwanaume lakini hilo unalosema si kweli kwani ‘nafunuaga’ nguo sehemu ninayochorwa tu.
WOLPER: Mi’ nimechorwa na mwanamke tena ni mama mtu mzima.
JACK WA CHUZ: Sasa nifanyeje na mtu yuko kazini, lazima ashike.
AUNT EZEKIEL: Mi’ yangu haijafika kwenye kalio hivyo sikushikwashikwa.
SHARAPOVA: Kwani hata akishika atafanya nini? Si akimaliza kazi yake navaa nguo na yeye anaondoka zake?