Askari wa Faya wakiwasili sokoni hapo tayari kuanza kazi. Picha na habari zaidi baadaye.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Issa Machibya (wa pili kushoto) na RPC wa mkoa huo wakiwasili eneo la tukio, ambapo kwa mujibu wa habari toka huko moto huo mkubwa umezuka katika mojawapo ya maduka na juhudi za kuuzima zinaendelea