Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela wakati balozi huyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.