Kevin Yondan akikamilisha usajili wake na Yanga mbele ya Seif Magari kulia, Kushoto ni mtu wa Simba, ambaye alimpeleka mchezaji huyo kumaliza usajili naye akapewa posho yake jana usiku.