Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jun 7, 2012

MZEE YUSUF AFANYIWA SAPRAIZ YA BETHIDEI YA MKEWE

 Mke wa Mzee Yusuf Akikata keki kabla ya kuanza zoezi la kulishana.Hii ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mke wa Mzee Yusuf

            Akiiweka mdomoni kabla ya kumlisha mumewe ukumbini hapo... 
Alaamba alaamba tenaaa Haamuu haamuu.......................Haya mke na mume tena wakilishana keki kwa staili
 Hapo bidada Leyla Rashid mke wa Mzee Yusuf akimlisha dada wa Mzee Yusuf Khadija Yusuf
    Mzee Yusuf akiimba huku mkewe Leyla akimtunza na kucheza nae pamoja...
Mfalme Mzee Yusuf akiwajibika kuwachengua mashabiki wake ndani ya ukumbi wa Dar Live Mbagala Dar es Salaam.
   Bidada Khadija Yusuf nae hakubaki nyuma katika kuleta burudani ndani ya ukumbi wa Dar Live.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP