Aunt Jamillah pichani Kushoto.
Assalam aleykum.
Tunapenda kuwatangazia kuwa mama yetu,Shangazi yetu kipenzi Jamillah mwenye makazi nchini Holland amefiliwa na mama yake mzazi leo nchini Tanzania,kwa mujibu wa taarifa tulizozipata usiku huu ni kwamba taratibu za mazishi zimeshakamilika na mipango ya mazishi ni kesho mchana wa saa 7 makaburi ya kisutu jijini Dar es Salaam kwa saa za Tanzania.
Maganga One Blog inaungana na familia ya Aunt Jemmy katika kuomboleza msiba huu mzito,kwa kuwa tunaamini kila mmoja ni mpita njia hapa duniani hivyo hatuna budi kusema Inna lillah wa Inna lillah rajiun.
Kwa wakazi wa Holland tunaomba mtaarifiane habari za msiba huu.
Ahsante.
Utawala. |
0 Comments