FFU wa Ngoma Africa  band walipofanya kweli katika maonyesho ya
International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi
11.080.2012, Pia maonyesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la
"IDA- International Diaspora Award"  mshindi wa Tuzo hiyo ni Ngoma Africa band,
ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri
ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabiki
katika kila kkona diniani.Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award" ambayo
imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU.
wasikilize  at
http://www.ngoma-africa.com/