Tutafakari na hatua za haraka zichukuliwe,nchi inapata sifa na kujulikana kutokana na michezo.Hivyo hatua za haraka zikichukuliwa na kuzingatia mambo muhimu nina hakika tutafika mbali.Tusijulikane kwa kuomba misaada au umasikini wa nchi yetu tu.Tujulikane kwa michezo na kupata sifa.