| Sherehe zetu za Eid El Hajj tulizifanya rasmi siku ya jana baada ya kusheherekea siku ya Ijumaa.. |
| Kama inavyosomeka |
| Ustadhi Habib alitufungulia sherehe zetu kwa kutoa mawaidha mazuri ya yaliyofurahiwa na kila mmoja aliyefika ukumbini hapo. |
| Bidada Cherie kushoto alisoma hotuba kwa lugha ya Nederlands na bidada Talha kulia alitafsiri hotuba ile kwa lugha ya Kiswahili,wallah ilikuwa raha sana kwenye sherehe hizi. |
| Kijana mdogo mwenye sauti nzuri kabisa kutoka Brussel alisoma Quran tukufu na kupendwa na watu wote walifika ukumbini hapo. |
| Pichani bidada Cherie akiendelea kusoma hotuba ya Eid El Hajj |
| Bidada Sharon akisoma Quran |
| Bidada Moza nae akisoma Quran |
| Kina kaka nao hawakubaki nyuma,wallah ilikuwa raha sana kuwasikiliza. KWA PICHA ZAIDI BONYEZA MAANDISHI YA CHINI EID EL HAJJ BELGIUM |
0 Comments