Wengi tulimsikia Marehem Dikteta Idd Amin kwa sifa zake ya ukatili na unyama wa utawala wake,
Lakini upande wa pili wa Dikteta Amin ni Utabili wake ! wa kutabili kuwa Amerika itatawaliwa na
viongozi wa ngazi za juu Weusi ! tunapoangalia video hii ya Utabili wa nduli Idd Amin !
ndio mambo yalivyo sasa huko Amerika
1 Comments