Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe wakati akijibu swali bungeni leo bungeni na kudai kuwa wafungwa walipoteza uhuru wao na hivyo wafungwa walikuwa hawana haki kisheria ya kufanya tendo la ndoa na wenza wao wan doa. Amedai kuwa wafungwa wakitumikia adhabu ya kunyimwa tendo la ndoa ni moja ya adhabu kwa wafungwa. Jibu hilo liliwaacha wabunge wakilalamika na kusema adhabu hiyo milikuwa ikipingana na haki ya binadamu.(Picha na Maktaba