Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela, akimvisha ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa KO Raundi ya 6.
Bondia Bernad Mackoliech wa Kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki. Mashali alishinda kwa KO raundi ya sita.
 Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo wa ubingwa wa Afrika Mashariki.
Refarii Mark Hatia akimwesabia bondia Bernad Mackoliech huku akimuamulu Thomas Mashali kwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki.