Manchester United walianza kufunga goli kama hivii....ni Danny Walbeck ndiye mfungaji hapoo.
Christian Ronaldo nae akajibu mashambilizi kwa kurudisha goli namna hiii
 Robin Van Persie alikosa goli namna hii....
 Nao Madrid nao kosakosa zao hizooo
 Ronaldo akikumbatiana na mzee Ferguson hapo jana...Ronaldo alikuwa mchezaji wa zamani wa Man u.
Makocha wakipongezana hapo jana
Hii ndio inaitwa Fair Play