Kati ya wanyama wa kufuga ninaowapenda sana na paka ni mmoja wapo,napenda akili ya paka ana upendo wake kwa wanadaamu.
 Ona mazingira mazuri ya paka anapolala na jinsi wanavyooneka yani hata wewe utatamani kuwa nao.
Na huyu paka jinsi alivyo mkubwa yani paka ana kilo 7 ...kuna baadhi ya watu hawapendi kabisa paka ila mimi tofauti napenda sana.