Wapenzi na mashabiki wangu wa Maganga One Blog.Napenda kuwaomba radhi kwa kutokuwepo  hewani kwa wiki kadhaa sasa bila taarifa maalumu na hii inatokana na wingi wa majukumu nje ya kazi za Blog.Nipende kuwashukuru wale wote wenye kunitumia e-mail kwa kuniulizia kulikoni,wale tunaokutana nao uso kwa uso na kuniulizia kulikoni? na kadhalika pia wanaonipigia simu kutaka kujua nini kinaendelea..Napenda mjue kwamba hivi karibuni nitarejea hewani kama kawaida na mtaendelea kupata News,Burudani,Michezo na mambo mengi yanayoizunguka dunia kwa ujumla.Nawashukuru sana kwa kuwa nami na hii inanipa moyo kwamba nijitahidi kuwatumikia kadri niwezavyo.Ahsanteni sana.
                                                           Maganga One Blogger.