Mhe Job Ndugai,Naibu Spika wa Bunge akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wabunge wa Nchi za Afrika,Caribbean na Pacific na Wabunge wa Jumuiya ya Ulaya kujadili masuala ya kijamii na mazingira.Mhe Ndugai ni Mwenyekiti Mwenza(Co Chair) ambapo mwenzake in Bi.Michelle Rivalsi (pili kushoto).Mkutano huo ulifanyika katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya jijini Brussels.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Mhe.Deodorus Kamala (watatu kushoto)akishiriki mkutano huo pamoja na ujumbe wa Tanzania unaowajumuisha Mhe.Mussa Zungu (wa pili kushoto),Mhe.Dr Mary Mwanjelwa (kushoto) na Bw.Aggrey Nzowa ambae ni Katibu wa Msafara huo na pia Mkurugenzi Msaidizi (Huduma za Maktaba) katika Ofisi ya Bunge. Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
0 Comments