Kikosi cha timu ya soka ya wanawake ya Tanzanite kikiwa katika picha ya pamoja,kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Mozambique uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Hadi mwisho wa mchezo,Tanzanite iliibuka kidedea kwa ushindi mnono wa mabao 10 - 0.

Kikosi cha Mozambique.

 Waamuzi wa mchezo huo.

Raha ya ushindi.