Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuna
akiwakaribisha watanzania walioshiriki kwenye michezo mbalimbali wakati
wakiadhimisha kumbukumbu  ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere
kwenye Viwanja vya barclays jijini Lusaka Zambia
 Kikosi cha Simba ya Lusaka kilichoshiriki mpambano mkali wa mpira wa Miguu na wahasimu wao Yanga wa Lusaka katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya
barclays jijini Lusaka Zambia


Kikosi cha Yanga cha Lusaka kilichoshiriki mpambano mkali wa mpira wa Miguu na wahasimu wao Simba wa Lusaka katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya barclays jijini Lusaka Zambia

Hapa ni mpambano wa kuruka
juu wa watanzania wa Kabila la Wamasai waishio Lusaka Zambia katika maadhimisho
ya kifo cha baba wa Taifa Mwl JK Nyerere kwenye Viwanja vya Barclays

Juu na chini ni kina mama
walioshiriki mpambano mkali wa kuvuta Kamba katika maadhimisho ya kifo cha baba
wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya Barclays jijini Lusaka Zambia