Mwenyekiti wa Upendo Women's Group mama Therisia akifungua rasmi  ghafla ya uchangishaji ya kuwasaidia kina mama na watoto wa hospital ya Mwananyamala walio katika wakati mgumu kimatibabu.
 Balozi wa Tanzania nchini ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akifungua hotuba yake hapo jana katika ghafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,Kushoto kwa balozi ni Balozi wa Kenya nchi Belgium Mh:Johnson Uweru na pembeni wa balozi wa Kenya ni mwakilishi kutioka Madagasca mh: Norbet Richard Ibrahim,kulia kwa balozi Dr. Kamala ni balozi wa Burundi Dr.Felix
Mwenyekiti wa watanzania nchini Ubegiji na mfadhili mkuu wa kikundi cha Upendo Women's Group Dr.Mwasha akitoa hotuba ya kukipongeza kikundi cha Upendo kwa hatua nzuri waliyofikia. 
 Pichani kikundi cha kinamama cha Upendo Women's Group kikiimba nyimbo ya Tanzaniax2 nakupenda kwa moyo wangu wote.
 Mwenye t-shirt nyeupe na viatu vyeusi ni mke wa mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Ubegiji mama Kamala akifungua burudani ya muziki huku akisindikizwa na kina mama wa upendo Women's Group
 Ni mwimbaji maarufu barani Ulaya ndugu Ali Khamis akiwaburudisha kina mama kwa nyimbo zake nzuri za Taarabu
Madada warembo wa kitanzania wakipata chakula asilia toka nyumbani.. 
 Kila mmoja alikuwa akifurahia chakula kitamu 
Mr Ruddy mmoja wa wafadhili katika kikundi cha Upendo Women's Group akiendelea kuwashukuru wote waliofika ukumbiki kusikiliza na kusapoti wa kinamama wa Upendo Women's Group.
 Aliyewahi kuwa Medical Doctor katika hospitali ya Mwananyamala Dr Flotea akijaribu kuwaelezea wananchi na Mh:Balozi Kamala  hali ya hospitali ya Mwananyamala jinsi ilivyo kwamba hali  sio nzuri na wanajaribu kuwasaidia kina mama na watoto wanaopata tabu hospitalini hapo.
Wana Upendo Group wakiiingia kwa staili katika ghafla ya uchangishaji wa fedha za kwa ajili ya hopstali ya  Mwananyamala 



















 Waawwwoohhh!!! kina mama wa Upendo wakijimwayamwaya ukumbikini