kiba jokate
Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mpenzi wake, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.

Stori: Waandishi wetu, Risasi Jumamosi
DAR ES SALAAM: Kimenuka! Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Diva Gissele Loveness Malinzi ‘Diva’ na mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’, wametifuana vibaya huku chanzo cha sakata hilo kikitajwa kuwa ni penzi la staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’.
KIBA NA DIVA
Kiba na Diva
  • SAKATA LAANZIA MITANDAONI
  • Team Kidoti wamuundia zengwe Diva na kumsema vibaya mitandaoni baada ya kuhisi kuwa amemkwapua Kiba.
  • Baada ya Diva kuona mtiti unazigi kukua, aamua kumfungukia Kiba.
  • LULU NAYE ADANDIA TRENI
  • Awaunga mkono Team Kidoti.
  • Hali ya hewa ndipo ikachafuka zaidi.
luluali
Kiba na Lulu
  • DIVA YAMFIKA KOONI, AMLIPUA JOKATE
  • “… ni mnafiki kwani maisha anayoishi ni tofauti na uhalisia (fake life)….”
  • “… Mimi nikimtaka Ali ni dakika mbili tu nampata! Kiba ananipenda hivyo nikimtaka nampata tu, siyo kitu kibaya,” alisema Diva.
  • DIAMOND PLATINUMS NAYE ATAJWA
  • Kisa chatajwa kuwa Joakte aliwahi kutembea na Diamond Platnumz huku akijifanya ni rafiki wa Wema Sepetu (aliyekuwa mwandani wa Diamond).
  • Hali yazidi kuwa mbaya zaidi.
  • Jokate anasemaje?
  • Kiba je?