Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  akiweka udongo kwenye kaburi la kaka
yake, Selemani Selemani katika mazishi yaliyofanyika  kwenye kijiji cha
Narung'ombe wilayani Ruangwa Aprili 9, 2016. 


(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).