Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan Mhe. Mathias M. Chikawe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais, leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan Mhe,Mathias M.Chikawe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao. Picha na Ikulu, Zanzibar