Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 6, 2016

Ugomvi wa kimapenzi wamalizikia kwenye gari

Picha za gari lililokuwa na ujumbe wa kukasirisha uliochorowa katika gari hilo zimesambazwa mara elfu katika mtandao wa Twitter.
Gari hilo jeupe aina ya Range Rover Revere lenye bei ya pauni 75,000 lilionekana limeegeshwa karibu na Harrods magharibi mwa London na kuchorwa ujumbe wa kukasirisha kwa kile kilichoonekana kuwa mpenzi aliyedanganywa.

Gari hilo liliandikwa 'cheater' { mwongo} katika pande zote mbili za gari huku maneno ''Natamani angekuwa na thamani'' yakiandikwa katika madirisha ya gari hilo.
Image captionRange Rover iliochorwa
Klo ambaye alipiga picha za gari hilo alisema kuwa alimuona mwanamke mmoja akilichora gari hilo,alikuwa kama aliye na wazimu.
'Hakuna mtu aliyejaribu kumzuia.Baadaye aliondoka.Maneno ''Its Over'' pia yaliandikwa kwenye gari hilo ikielezea kuisha kwa uhusiano wowote''

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP