Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 9, 2016

Katibu wa Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania.Mtela Mwampamba alaani hujuma dhidi ya Rais Dkt Magufuli

 Katibu wa Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania.Mtela Mwampamba (Katikati) akizungumza na waandishi  mjini Dodoma Mara baada ya kusoma tamko la Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania kuhusu Hujuma dhidi ya Mhe.Rais John Pombe Magufuli. Wengine pichani ni wajumbe wa jukwaa hilo,Halphan Hamis kushoto na Mariam Fundi.

Picha na  Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP