Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 26, 2016

DC MUHEZA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TEULE MUHEZA,AWATAKA WATUMISHI KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

DC
MUHEZA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TEULE MUHEZA,AWATAKA
WATUMISHI KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA


MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akipofanya ziara ya kuitembelea hospitali ya Teule kuangalia changamoto zinazoikabili kulia ni Mganga Mfawizi wa Hospitali hiyo,Malahiyo Rajabu katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza


Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kulia kuzungumza na watumishi wa Hospitali Teule ya Muheza


 Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya
Muheza Malahiyo Rajabu akizungumza jambo kwa Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye hayupo pichani wakati
alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali hiyo


 Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya
Muheza Malahiyo Rajabu kulia akitoa ufafunuzi kwa Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto katikati ni Katibu Tawala
wa wilaya ya Muheza wakati mkuu huyo wa wilaya alipofanya ziara kwenye
hospitali hiy
o


kulia
ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo
akisisitiza jambo kwa DMO wa wilaya ya Muheza wa pili kutoka kushoto Dkt
Elias Mayala wakati alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali Teule ya
Muheza
Katikati
ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo
aliyevaa hijabu akiwa na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Teule ya
Muheza wakati alipofanya ziara kulia ni Mganga Mfawizi wa Hospitali hiyo
Malahiyo Rajabu na anayefuata ni Katibu Tawala wa wilaya ya
Muheza


Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili
kutoka kulia aliyevaa hijabu akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa zama
katika hospitali Teule ya Muheza kushoto mara baada ya kufanya ziara ya
kuitembelea anayefuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza
Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya Teule Muheza Mkoani Tanga,Malahiyo Rajabu
kushoto akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo kabla ya kuingia kwenye chumba cha maabara wakati
alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali hiyo


Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati
akitembea hospitali ya Teule wilayani humo kulia ni Mganga Mfawidhi wa
Hospitali hiyo,Malahiyo Rajabu kushoto ni DMO wa wilaya ya
Muheza,Daktari Elius Mayala
Kulia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali
Teule ya Muheza,Malahiyo Rajabu akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya
Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kuhusua namna
wanavyofanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ambaye alifanya ziara ya
kushtukiza ya kuitembelea hospitali hiyo

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP