Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sanduku ambalo ni maabara inayohamishika inayoweza kutumika katika zahanati na vituo vya afya ambayo imetengenezwa na kampuni ya Acuuster Technologies Pvt Limited ya India, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 12, 2016. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Dkt. Mpoki Ulisubisya na kushoto kwake ni Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo, Amit Bhatnagar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)