Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Aug 24, 2016

Uturuki wataka raia wake kuhama mji wa mpakani wa Karkamis

Mamlaka nchini Uturuki zimewataka watu waishio mji wa kusini mwa Karkamis kuondoka baada ya taifa jirani la Syria kukumbwa na moto uliosababishwa na wanamgambo wa kundi la Islamic State.
Mji wa Karkamis upo jirani na mpaka kutokea mji wa Jarablus, ambapo wanamgambo wa IS wapo mji ambao waasi wa wanaoungwa mkono na Uturuki wanajaribu kuuchukua kwa kipindi kifupi.Kundi la waasi lipo kwa wingi katika maeneo hayo.

Raia wa Uturuki wakionyesha hasira zao kutokana na moto huo
Image captionRaia wa Uturuki wakionyesha hasira zao kutokana na moto huo

Uturuki imelilaumu kundi la IS kwa shambulizi la kujitoa mhanga na kuuwa watu wengi kusini mwa nchi hiyo mwishoni mwa juma , na kusema kuwa kundi hilo lazima liondoshwe katika maeneo ya mipakani.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP