

la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe .

la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.








Mchungaji Kiongozi .........akitoa salamu kwa wauimini waliohudhuria ibada hiyo maalumu ya ufunguzi wa kanisa hilo.



Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akimpa mkono Pascal Shelutete kwa kushiriki katika utoaji wa msaada wa ujenzi
wa kanisa hilo.



Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akihitimisha ibada ya ufunguzi wa kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.

Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akipeana mikono na wachungaji mara baada ya kumaliza ibada ya ufunguzi wa jengo la kanisa.

Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisaidiana na Pascal Shelutete kuotesha mti wa kumbukumbu katika viunga vya kanisa hilo.

Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga mara baada ya kukamilika kwa ibada ya ufunguzi wa kanisa jipya la mtaa wa Kulasi.
Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog,Kanda ya Kaskazini.
0 Comments