DC MUHEZA APIGA MARUFUKU BODABODA KUENDESHWA ZAIDI YA SAA SITA




Mkuu
wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na
bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye
uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku kuendeshwa
usiku zaidi ya saa sita.









Mkuu
wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na
bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye
uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku kuendeshwa
usiku zaidi ya saa sita.



Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza
(Das) akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa
wilaya hiyo,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kushoto na anayefuata
ni Mwenyekiti wa Waendesha Boda Boda wilayani Muheza
 
 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Muheza ambaye pia ni Afisa Biashara wa wilaya hiyo,Ally
Mokiwa akielezea namna walivyojipanga kuhakikisha waendesha bodaboda hao
wanakata leseni za kuendesha shughuli zao katikati ni Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo


wa
pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Usalama Barabarani
wilayani Muheza(DTO) Herbert Kazonde wakati wa mkutano huo na waendesha
bodaboda uliofanyika kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo kulia ni
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza.





Katibu wa Chama cha Waendesha Boda
Boda wilayani Muheza,Francis Gerald akizungumza katika mkutano huo
kuhusu changamoto ambazo zinawakabili




Baadhi ya waendesha bodaboda
wilayani Muheza wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi
Mwanasha Tumbo alipokuwa akizungumza nao kusisitiza umuhimu wa wao kutii
sheria za usalama barabarani ikiwemo kuacha kufanya vitendo vya uhalifu




 Baadhi ya Bodaboda zikiwa
zimepaki kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani Muheza huku madereva wakiwa
kwenye kikao chao na Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,
Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 




Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha