Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Nov 5, 2016

MAGANGA ONE BLOGGER ZIARANI BARCELONA SPAIN

Moja ya kati ya mifugo ninayoipenda duniani ni njiwa,nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kufuga njiwa.Njiwa ni ndege wazuri sana na hupenda kuishi sehemu zenye AMANI  na tulivu..

Blogger Maganga One akiwa mitaani kusaka habari za jiji la Barcelona

Raha iliyoje pale unapokutana na mtu wako wa nguvu baada ya kupotezana miaka mingi..Blogger Maganga One akiwa na Muddy Durban ndani ya jiji la Barcelona

Baada ya miangaiko ya huku na kule kusaka matukio Blogger utuliza kichwa na kutafakari nini cha kufanya next.

Hammy-Kiz One katika ubora wake ndani ya jiji la Barcelona
Kule kwetu watu wasio na uwezo tunaiwaita OmbaOmba mie huwa sina tatizo na watu kama hawa,Ieleweke duniani kote hawa watu wapo.Nimeiweka hii picha sio kama kuonyesha msaada wa kujionyesha laa hasha!!! hapa naonyesha kwamba tusiwanyanyase wasio na uwezo.

Unapotaka News na uhakika wa habari wa jambo lazima uliulizie vile linavyotakiwa.Nipo na wenye nchi hivyo hakiharibiki kitu

Tajiri wa roho Hammy Kiz,huyu ndiye mwenyeji wangu namba 1 nchini Spain..Ratiba zote za matembezi zipo chini ya Uangalizi wake.Namkubali kwani mambo yeto yanakwenda kama protocol inavyotakiwa kwenda.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP