Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazavile Mhe.
Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo Mhe.
Jean Claude Gakosso (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi ya Congo
Brazzaville Mhe.
Jean Claude Gakosso (kushoto) ambaye alimkabidhi Makamu wa Rais wa
Ujumbe Maalum wa Rais John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo
Brazzaville Mhe.
Denis Sassou Nguesso, Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)